MUSIC

Baada Ya Kichapo Kikali, Costal Union Wamtimua Kocha


KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo 'Julio' ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.Baada ya mechi hiyo dhidi ya kikosi cha Fred Minziro, Julio atatimka rasmi na kusubiri kuanza maandalizi ya ligi kuu na timu yake, Mwadui fc.
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/baada-ya-kichapo-kikali-costal-union.html

Ajali Mbaya Jijini Dar es salaam. 1 Apoteza Maisha.


Ni mfanyabiashara za promotion jijini Dar es salaam akiwa katika mizunguko yake ya kujitafutia riziki akitokea Temeke kwenda Posta apatwa na ajali mbaya maeneo ya bandarini na kufariki dunia
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/ajali-mbaya-jijini-dar-es-salaam-1.html

Lulu Awaogopa Wachawi Kumtaja Aliye Mtundika Ujauzito Wake


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Lulu amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi. Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua, alisema Lulu.
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/lulu-awaogopa-wachawi-kumtaja-aliye.html

Ajali Mbaya.Yaua 7 Manyara


Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/ajali-mbayayaua-7-manyara.html

Diamond: Bora Nife Kuliko Kumrudia Wema


KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platinumz amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu Madam kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena,Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo basi tena!TUJIUNGE NA CHANZOKwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na staa huyo, mara kwa mara Diamond amekuwa akijiwekea nadhiri ndani ya moyo wake na kusisitiza kwamba pamoja na kuwa maisha ya sasa huendeshwa kwa msingi wa fedha lakini hata kama atafulia kiasi gani, ni bora afe maskini kuliko kurudiana na Wema. Diamond amekuwa akisema kila wakati kwa msisitizo kuwa kutokana na matatizo aliyokumbana nayo katika uhusiano wake kwa Wema, ni vigumu sana kurudiana naye wala kuwaza kama ipo siku anaweza kuwa naye, maana hakuna tena jambo geni asilolijua kwake, kilisema ch
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/diamond-bora-nife-kuliko-kumrudia-wema.html

News alert: ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo


Habari zilizotufikia punde zinasema watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero kugongana uso kwa
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/news-alert-ajali-ya-basi-la-abiria-na.html

Lori la mafuta lagongana na basi uso kwa uso Kilimanjaro


Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali. Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba, Mikumi, jirani na milima ya Udzungwa ambapo imeripotiwa kwamba watu 18 wamepoteza maisha hapo hapo na wengine 10 kujeruhiwa baada ya lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na basi la abiria na yote mawili kushika moto hapo hapo.
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/lori-la-mafuta-lagongana-na-basi-uso.html

Mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathon sasa kufanyika Aprili 18


Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha.Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity.Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao wanartarajia kushiriki Mbio hizo huku akisema mbio za mwaka huu zitashirikisha wanariadha walioshiriki mbio za dunia za Nyika mwaka huu watakao toana jasho na wakimbiaji kutoka nchini Kenya,Uganda na Malawi.(P.T)Muongozaji wa Mbio hizo kutoka kampuni ya Zara Tour ,Frances Kilawe akizungumza historia ya Mbio hizo.Mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity Datus Mmary akizungumzia lengo la mbo hizo ambao awali ilikuwa ni kuchangia katika kutokomeza Marelia na mbio za mwaka huu zitakuwa ni kwa aj
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/mbio-za-kimataifa-za-ngorongoro.html

NEW AUDIO; MATONYA -- UNANIMALIZA

New AUDIO[Remix] | Belle 9 - Wanitamani Remix[KWAITO Version]

New AUDIO ; Izzo Bizness - WALALAHOI

B.g.m.s-Grind_tyme_2

New AUDIO ; Eric da last - Mwambie Yeye

New AUDIO | YOUNG DEE - ROCK STAR

New AUDIO ; CHRISS BEE FT G.SACHA-WALA WALA

NEW AUDIO; BEXY-LULU