Ikiwa ni video ya nne ya rapper Young Killer, anasema ameboresha muonekano wake na uchangamfu kwenye video yake, pia amefanya video hii na director mpya kwenye tasnia ya video Tanzania akiamini kupata ubunifu mpya. Humu yupo Young Killer ft Damian Soul- My Power na video imeongozwa na Director Jackson Joachim, Audio ni kazi ya Mona Ganster wa Classic Sound.
Post a Comment